Nation iconNationAug 12, 2026 ~1 min source read

Hii 2027 vita muhimu havitakuwa kati ya wagombeaji, ila kutofautisha ukweli na propaganda

TUNAPOELEKEA Uchaguzi Mkuu wa 2027, vita muhimu havitakuwa tu kati ya wagombeaji na vyama vya kisiasa. Vitakuwa pia vita vya habari — kati ya ukweli, propaganda, upotoshaji na uwongo unaosambazwa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii.

Hii 2027 vita muhimu havitakuwa kati ya wagombeaji, ila kutofautisha ukweli na propaganda

Share this story

Send the public story page.

Useful takeaways from this story.

TUNAPOELEKEA Uchaguzi Mkuu wa 2027, vita muhimu havitakuwa tu kati ya wagombeaji na vyama vya kisiasa.

Vitakuwa pia vita vya habari — kati ya ukweli, propaganda, upotoshaji na uwongo unaosambazwa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii.

Uchaguzi bado uko mwaka ujao, lakini kampeni ya kuunda mitazamo ya wapiga kura tayari imeanza.

Building the complete brief

The page is ready to read now. The fuller skim-friendly version will appear here automatically.

The useful part

TUNAPOELEKEA Uchaguzi Mkuu wa 2027, vita muhimu havitakuwa tu kati ya wagombeaji na vyama vya kisiasa. Vitakuwa pia vita vya habari — kati ya ukweli, propaganda, upotoshaji na uwongo unaosambazwa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii. Uchaguzi bado uko mwaka ujao, lakini kampeni ya kuunda mitazamo ya wapiga kura tayari imeanza.

How it works

  • WhatsApp, TikTok, Facebook, X na majukwaa mengine yamegeuka maeneo muhimu ya kisiasa.
  • Ujumbe mmoja wa sauti, video iliyohaririwa au picha yenye taarifa za uongo inaweza kuwafikia maelfu ya watu kabla haijathibitishwa.
  • Hatari kubwa ni kwamba, propaganda mara nyingi haiji ikiwa na nembo ya propaganda.
  • Huambatanishwa na picha ya kiongozi, nembo ya chombo cha habari au nukuu inayodaiwa kutoka kwa mtu maarufu.
  • Mtu anayepokea ujumbe huamini kwa sababu umetumwa na ndugu, rafiki au mtu anayemwamini.

What to take from it

Hivi majuzi, kwa mfano, taarifa ya uongo ilisambazwa ikidai mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC), Erastus Ethekon, alisema Rais William Ruto angeshinda uchaguzi wa 2027. IEBC yenyewe imeonya kuhusu madai ya watu wanaodai kuwa wanaweza kuathiri uchaguzi wa 2027 kwa njia zisizo halali.

Details worth keeping

Uchunguzi wa Africa Check ulionyesha hakukuwa na ushahidi wa kauli hiyo. Si kila kitu tunachosoma, kusikia au kuona ni kweli.

Keep reading in the app

Open the app view to save this story, compare related coverage, and continue from the same source.

Open in app