Nation iconSource

Stories from Nation

Use this page to scan recent stories from Nation, see the themes that keep appearing, and jump into complete story briefs.

Recurring themes in this source.

Habari za KitaifaAfrika Mashariki – KenyaAliko Dangotebandari ya lamudangoteDangote GroupForbesJarida la ForbeskenyaKiwanda cha Mafuta Afrika MasharikilamuJamvi La SiasaGladysWangaDkt Oburu Oginga au vuguvugu la Linda Mwananchi chini ya Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna

Recent curated reads

Ziara ya Ruto Nyanza yaacha makovu ODM
Nation iconNationSep 27, 2026

Ziara ya Ruto Nyanza yaacha makovu ODM

ZIARA ya siku tano ya Rais William Ruto Luo Nyanza wiki iliyopita iliacha makovu ya uhasama na mgawanyiko wa kisiasa kati ya baadhi ya viongozi wa eneo hilo hasa kampeni za uchaguzi mkuu wa 2027 zinavyoendelea kunoga. Rais Ruto alifanya ziara ambayo ilionekana ilifana katika kaunti za Kisumu, Siaya, Migori na Homa Bay

Majengo ya kisasa yanavyoharibu utamu wa uswahili wa Mombasa
Nation iconNationSep 26, 2026

Majengo ya kisasa yanavyoharibu utamu wa uswahili wa Mombasa

KWA miongo mingi, nyumba za jadi za muundo wa Waswahili zimekuwa alama muhimu ya utambulisho wa Mombasa. Hata hivyo, mandhari hiyo sasa inabadilika kwa kasi huku majengo marefu ya kisasa yakizidi kujengwa katika maeneo mbalimbali ya jiji. Katika mitaa ya Majengo, Kisauni, Old Town, Tudor na Ganjoni, nyumba za zamani za

Amerika yamezea mate madini ya Kenya bila kuficha
Nation iconNationSep 24, 2026

Amerika yamezea mate madini ya Kenya bila kuficha

Amerika imeongeza hamu yake katika madini muhimu ya Kenya wakati ambapo serikali ya Rais William Ruto inataka kuendeleza uwezo wa kuchakata madini ndani ya nchi badala ya kuyauza nje yakiwa ghafi. Suala hilo lilijitokeza kwa uzito wakati wa mkutano kati ya Rais Ruto na Waziri wa Masuala ya Kigeni wa Amerika, Marco Rubi

IEBC kusajili wapigakura wapya kutoka mataifa 26 Ughaibuni
Nation iconNationSep 29, 2026

IEBC kusajili wapigakura wapya kutoka mataifa 26 Ughaibuni

TUME Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) imepanua usajili wa Wakenya wanaoishi ughaibuni kutoka nchi 12 hadi 26, hatua inayolenga kuwapa Wakenya wengi zaidi nafasi ya kushiriki uchaguzi mkuu wa Agosti 2027. Wakati huo huo, tume hiyo imekanusha madai kwamba inasajili raia wa nchi jirani kuwa wapigakura nchini Kenya. Mweny

Nitahamisha Wasomali wampigie kura Rais Ruto 2027
Nation iconNationSep 29, 2026

Nitahamisha Wasomali wampigie kura Rais Ruto 2027

WAZIRI wa Afya Aden Duale amezua mdahalo mitandaoni baada ya kusema atawahamasisha Wasomali kutoka Somalia kumuunga mkono Rais William Ruto katika uchaguzi mkuu wa 2027. Akizungumza katika mkutano na wanachama wa Muungano wa jamii ya Wasomali jijini Mombasa, Bw Duale alisema ana uzoefu wa zaidi ya miaka 25 katika siasa

Uchumba wa Rigathi, Sifuna kisiasa utautikisa upinzani
Nation iconNationSep 27, 2026

Uchumba wa Rigathi, Sifuna kisiasa utautikisa upinzani

MJADALA kuhusu uchaguzi mkuu wa 2027 umechukua mkondo mpya baada ya kauli za viongozi wa kisiasa kuashiria uwezekano wa kuibuka kwa muungano wa kisiasa kati ya aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua na Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna. Huku baadhi ya wadau wakichukulia ushirikiano huo kama silaha ya kumenyana na Rais Will

Read this source in the app

Open the app view when you want faster scanning, saved stories, and source-focused reading in one place.

Open in app