Nation iconNationAug 15, 2026 ~1 min source read

Askofu, mbunge watofautiana kuhusu mchango wa Ruto matangani

Katika hotuba yake, mbunge huyo alimsifu marehemu kama mfuasi wa Rais Ruto na serikali yake. Alitaja miradi kadhaa ya serikali katika kaunti hiyo, akisema Rais Ruto amekuwa akichangia maendeleo ya Taita-Taveta.

Askofu, mbunge watofautiana kuhusu mchango wa Ruto matangani

Share this story

Send the public story page.

Useful takeaways from this story.

Katika hotuba yake, mbunge huyo alimsifu marehemu kama mfuasi wa Rais Ruto na serikali yake.

Alitaja miradi kadhaa ya serikali katika kaunti hiyo, akisema Rais Ruto amekuwa akichangia maendeleo ya Taita-Taveta.

Bwire pia alitangaza mchango wa Sh500,000 kutoka kwa Rais Ruto, huku yeye mwenyewe akitoa Sh100,000.

Building the complete brief

The page is ready to read now. The fuller skim-friendly version will appear here automatically.

The useful part

Katika hotuba yake, mbunge huyo alimsifu marehemu kama mfuasi wa Rais Ruto na serikali yake. Alitaja miradi kadhaa ya serikali katika kaunti hiyo, akisema Rais Ruto amekuwa akichangia maendeleo ya Taita-Taveta. Bwire pia alitangaza mchango wa Sh500,000 kutoka kwa Rais Ruto, huku yeye mwenyewe akitoa Sh100,000.

How it works

  • Hata hivyo, wakati wa mahubiri, Askofu Mng'oda alikosoa vikali kauli hizo, hasa kuhusu maendeleo ya serikali katika eneo hilo.
  • Askofu huyo alilalamikia hali ya barabara na ukosefu wa maji, akipinga picha ya maendeleo iliyokuwa imewasilishwa na mwanasiasa huyo.
  • Pia alikosoa namna mchango huo ulivyotangazwa, akidai ulitolewa kwa mtindo wa majivuno na madai ya kustahili sifa.
  • Katika kauli iliyowashangaza waombolezaji, Mng'oda aliishauri familia kutotumia fedha hizo kusomesha watoto wa marehemu na hata kupendekeza zirudishwe ikiwa ingewezekana.
  • Katika hotuba ya shukrani, ndugu wa marehemu aliishukuru serikali kwa mchango wa Sh500,000 na Bwire kwa Sh100,000.

What to take from it

Malumbano hayo yalifanya mazishi hayo kugeuka kutoka hafla ya kuaga marehemu hadi mjadala kuhusu siasa, maendeleo na matumizi ya mchango wa Sh600,000.

Details worth keeping

IBADA ya mazishi ya marehemu Mchungaji Silvanus Mwakoma katika eneo la Kirutai, Voi, iligeuka kuwa uwanja wa malumbano ya kisiasa baada ya Mbunge wa Taveta John Bwire na Askofu Mkuu Liverson Mng'oda kutofautiana kuhusu mchango wa Rais William Ruto kwa familia ya marehemu. Alisema fedha hizo zitatumika kuwasaidia watoto wa marehemu.

Keep reading in the app

Open the app view to save this story, compare related coverage, and continue from the same source.

Open in app