Nation iconNationSep 3, 2026 ~1 min source read

IEBC, NCIC na Polisi watoa tahadhari kuhusu dalili za hatari uchaguzi mkuu ujao

KENYA inapoelekea uchaguzi mkuu wa 2027, tayari kuna ishara za hatari zinazoweza kuzua vurugu na kuzamisha nchi katika mzozo wa kisiasa, kiuchumi na kijamii. Vurugu katika mikutano ya kisiasa, matamshi ya chuki, madai ya wizi wa kura, mizozo kuhusu zabuni za mabilioni ya fedha, taarifa za uongo na kupungua kwa imani kwa taasisi za uchaguzi ni baadhi ya changamoto zinazotajwa.

IEBC, NCIC na Polisi watoa tahadhari kuhusu dalili za hatari uchaguzi mkuu ujao

Share this story

Send the public story page.

Useful takeaways from this story.

KENYA inapoelekea uchaguzi mkuu wa 2027, tayari kuna ishara za hatari zinazoweza kuzua vurugu na kuzamisha nchi katika mzozo wa kisiasa, kiuchumi na kijamii.

Vurugu katika mikutano ya kisiasa, matamshi ya chuki, madai ya wizi wa kura, mizozo kuhusu zabuni za mabilioni ya fedha, taarifa za uongo na kupungua kwa imani kwa taasisi za uchaguzi ni baadhi ya...

Masuala hayo yalijadiliwa jana katika mkutano wa kitaifa wa usalama wa uchaguzi uliofanyika Nairobi.

Building the complete brief

The page is ready to read now. The fuller skim-friendly version will appear here automatically.

The useful part

KENYA inapoelekea uchaguzi mkuu wa 2027, tayari kuna ishara za hatari zinazoweza kuzua vurugu na kuzamisha nchi katika mzozo wa kisiasa, kiuchumi na kijamii. Vurugu katika mikutano ya kisiasa, matamshi ya chuki, madai ya wizi wa kura, mizozo kuhusu zabuni za mabilioni ya fedha, taarifa za uongo na kupungua kwa imani kwa taasisi za uchaguzi ni baadhi ya changamoto zinazotajwa. Masuala hayo yalijadiliwa jana katika mkutano wa kitaifa wa usalama wa uchaguzi uliofanyika Nairobi.

How it works

  • Ghasia hizo zilisababisha vifo vya zaidi ya watu 1,100, 3,500 kujeruhiwa na hadi 600,000 kuhama makazi yao.
  • Ripoti ya Kofi Annan Foundation ya Electoral Vulnerability Index ya 2026–2027 iliyotolewa Julai ilianika uwezekano wa Kenya kukumbwa na aina fulani ya ghasia zinazohusiana na uchaguzi kuwa asilimia 81.6.
  • Ripoti hiyo ilitaja ukosefu wa imani kwa IEBC, ugumu wa maisha, ukosefu wa ajira kwa vijana, siasa za ukabila na wasiwasi kuhusu mwenendo wa polisi wakati wa maandamano.
  • Mwenyekiti wa IEBC Erastus Ethekon alisema tume hiyo imekuwa ikielekezewa na madai mazito kutoka kwa viongozi wa kisiasa kuhusu maandalizi ya uchaguzi wa 2027.

Details worth keeping

Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC), Tume ya Kitaifa ya Uwiano na Utangamano (NCIC), Polisi, Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma (ODPP) na Idara ya Mahakama zilitahadharisha kuhusu umuhimu wa kujifunza kutokana na machungu ya ghasia za baada ya uchaguzi wa 2007/08.

Keep reading in the app

Open the app view to save this story, compare related coverage, and continue from the same source.

Open in app