Nation iconNationSep 5, 2026 ~1 min source read

Tume ya IEBC yaagizwa kuangazia upya zabuni ya teknolojia ya uchaguzi

"Stakabadhi za zabuni zinapaswa kueleza wazi ikiwa kutimiza kila kipengele cha kiufundi ni lazima au ikiwa kuna njia mbadala za kuthibitisha utiifu huo," bodi ilisema. Aidha, IEBC imeagizwa kutafuta ushauri na msaada wa kiufundi kutoka kwa Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi ya Umma (PPRA) kabla ya kuendelea na mchakato huo wa ununuzi.

Tume ya IEBC yaagizwa kuangazia upya zabuni ya teknolojia ya uchaguzi

Share this story

Send the public story page.

Useful takeaways from this story.

"Stakabadhi za zabuni zinapaswa kueleza wazi ikiwa kutimiza kila kipengele cha kiufundi ni lazima au ikiwa kuna njia mbadala za kuthibitisha utiifu huo," bodi ilisema.

Aidha, IEBC imeagizwa kutafuta ushauri na msaada wa kiufundi kutoka kwa Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi ya Umma (PPRA) kabla ya kuendelea na mchakato huo wa ununuzi.

Ukaguzi huo unalenga kuhakikisha kuwa mahitaji yote yanaelezwa kwa uwazi, ushahidi unaohitajika kuthibitisha unatambuliwa bayana, na mfumo wa kutoa alama unakuwa wa haki, wa wazi na unaoweza kupimika.

Building the complete brief

The page is ready to read now. The fuller skim-friendly version will appear here automatically.

The useful part

"Stakabadhi za zabuni zinapaswa kueleza wazi ikiwa kutimiza kila kipengele cha kiufundi ni lazima au ikiwa kuna njia mbadala za kuthibitisha utiifu huo," bodi ilisema. Aidha, IEBC imeagizwa kutafuta ushauri na msaada wa kiufundi kutoka kwa Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi ya Umma (PPRA) kabla ya kuendelea na mchakato huo wa ununuzi. Ukaguzi huo unalenga kuhakikisha kuwa mahitaji yote yanaelezwa kwa uwazi, ushahidi unaohitajika kuthibitisha unatambuliwa bayana, na mfumo wa kutoa alama unakuwa wa haki, wa wazi na unaoweza kupimika.

How it works

  • Uamuzi huo ulitokana na malalamishi yaliyowasilishwa na kampuni ya Galadirel Investment Limited...

Details worth keeping

TUME Huru ya Uchaguzi na Mipaka ncini (IEBC) imeagizwa kufanya marekebisho katika zabuni yake ya ununuzi wa teknolojia itakayotumika katika Uchaguzi Mkuu wa 2027 baada ya Bodi ya Ukaguzi wa Ununuzi ya Umma (PPARB) kugundua mapungufu katika vigezo vya tathmini na mahitaji ya kiufundi yaliyowekwa kwenye nyaraka za zabuni hiyo. Bodi hiyo ilisema kuwa zabuni hiyo haikueleza kwa uwazi jinsi kutimiza mahitaji ya kiufundi yangepimwa sambamba na mfumo wa alama za tathmini, hali ambayo ingeweza kusababisha wakaguzi kutoa alama tofauti kwa mapendekezo yenye sifa zinazofanana. Bodi iliongeza kuwa pale ambapo maelezo ya kiufundi yanahusisha masharti kadhaa, stakabadhi za zabuni zinapaswa pia kufafanua iwapo masharti yote lazima yatimizwe au kama kutimiza idadi fulani ya masharti kunatosha ili zabuni ichukuliwe kuwa imekidhi vigezo.

Keep reading in the app

Open the app view to save this story, compare related coverage, and continue from the same source.

Open in app