Nation iconNationSep 6, 2026 ~1 min source read

IEBC inavyojiandaa kwa uchaguzi wa 2027

TUME Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) imeingia katika awamu muhimu ya maandalizi ya uchaguzi mkuu wa 2027 huku ikiwa na chini ya mwaka mmoja kuhakikisha changamoto zilizopo zinatatuliwa. Bw Ethekon alisema tume hiyo tayari imeanza michakato mikuu ya ununuzi wa teknolojia, karatasi za kura na vifaa vingine vitakavyohitajika katika uchaguzi.

IEBC inavyojiandaa kwa uchaguzi wa 2027

Share this story

Send the public story page.

Useful takeaways from this story.

TUME Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) imeingia katika awamu muhimu ya maandalizi ya uchaguzi mkuu wa 2027 huku ikiwa na chini ya mwaka mmoja kuhakikisha changamoto zilizopo zinatatuliwa.

Bw Ethekon alisema tume hiyo tayari imeanza michakato mikuu ya ununuzi wa teknolojia, karatasi za kura na vifaa vingine vitakavyohitajika katika uchaguzi.

Alisema awamu ya kwanza ya Usajili Endelevu wa Wapigakura ilisajili wapigakura wapya milioni 2.3 dhidi ya lengo la milioni 2.5.

Building the complete brief

The page is ready to read now. The fuller skim-friendly version will appear here automatically.

The useful part

TUME Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) imeingia katika awamu muhimu ya maandalizi ya uchaguzi mkuu wa 2027 huku ikiwa na chini ya mwaka mmoja kuhakikisha changamoto zilizopo zinatatuliwa. Bw Ethekon alisema tume hiyo tayari imeanza michakato mikuu ya ununuzi wa teknolojia, karatasi za kura na vifaa vingine vitakavyohitajika katika uchaguzi. Alisema awamu ya kwanza ya Usajili Endelevu wa Wapigakura ilisajili wapigakura wapya milioni 2.3 dhidi ya lengo la milioni 2.5.

How it works

  • Kufikia Agosti 17, 2026, jumla ya wapigakura wapya 2,920,600 walikuwa wamesajiliwa, huku IEBC ikilenga kuwa na orodha ya wapigakura takriban milioni 28.5 mwaka 2027.
  • Hata hivyo, tume hiyo inakabiliwa na changamoto kadhaa, zikiwemo ukosefu wa fedha, ucheleweshaji wa sheria muhimu na wasiwasi kuhusu vurugu za kisiasa.
  • Katika mahojiano na Taifa Jumapili, Bw Ethekon alisema tume hiyo inahitaji hadi Sh35 bilioni kukamilisha maandalizi yake.
  • Kuhusu madai ya upendeleo katika zabuni ya teknolojia, mwenyekiti huyo alisema hakuna kampuni ambayo imeshinda zabuni hiyo.
  • Alisema mchakato wa ununuzi unaendelea kwa kuzingatia Katiba na sheria za ununuzi wa umma.

What to take from it

Alisema maamuzi ya mwisho yatafanywa baada ya mchakato wa wazi na wa uwazi kukamilika. Kuhusu madai ya upinzani kwamba IEBC inaegemea upande wa serikali, Bw Ethekon alisema tume hiyo haiwezi kuendeshwa kwa matakwa ya wanasiasa.

Details worth keeping

Mwenyekiti wa IEBC, Erastus Ethekon, amesema tume hiyo inaendelea na maandalizi mbalimbali, ikiwemo usajili wa wapigakura, teknolojia, ununuzi wa vifaa, elimu ya wapigakura, usafirishaji, kuajiri na kuwapa mafunzo maafisa wa uchaguzi. "Kufikia sasa, hakuna zabuni iliyotolewa kwa kampuni yoyote," alisema. "Wajibu wetu si kufurahisha serikali, upinzani, vyama vya...

Keep reading in the app

Open the app view to save this story, compare related coverage, and continue from the same source.

Open in app