Nation iconNationSep 10, 2026 ~1 min source read

MAONI: Kenya yafaa iwe kielelezo cha undugu wa Afrika kwa vitendo

KENYA kwa mara nyingine imejipata katika hali ya kutatanisha na inayotishia hadhi na sifa yake Afrika na kwenye jukwaa la kimataifa, safari hii ikiwa ni zaidi ya siasa. Ni mdahalo tata wa kufedhehesha kidiplomasia ambao kando na kuweka wananchi na taifa kwenye njiapanda, vilevile unawahatarisha Wakenya wanaoishi, kufanya kazi, au kusomea katika mataifa jirani hususan Afrika.

MAONI: Kenya yafaa iwe kielelezo cha undugu wa Afrika kwa vitendo

Share this story

Send the public story page.

Useful takeaways from this story.

KENYA kwa mara nyingine imejipata katika hali ya kutatanisha na inayotishia hadhi na sifa yake Afrika na kwenye jukwaa la kimataifa, safari hii ikiwa ni zaidi ya siasa.

Ni mdahalo tata wa kufedhehesha kidiplomasia ambao kando na kuweka wananchi na taifa kwenye njiapanda, vilevile unawahatarisha Wakenya wanaoishi, kufanya kazi, au kusomea katika mataifa jirani hususan Afrika.

Kauli ya Rais Ruto kuhusu msako dhidi ya raia wa kigeni wanaoendesha biashara kwa njia haramu imesababisha visa vya kuhofisha ambapo Waafrika kutoka nchi jirani, wameshambuliwa, kujeruhiwa, biashara zao...

Building the complete brief

The page is ready to read now. The fuller skim-friendly version will appear here automatically.

The useful part

KENYA kwa mara nyingine imejipata katika hali ya kutatanisha na inayotishia hadhi na sifa yake Afrika na kwenye jukwaa la kimataifa, safari hii ikiwa ni zaidi ya siasa. Ni mdahalo tata wa kufedhehesha kidiplomasia ambao kando na kuweka wananchi na taifa kwenye njiapanda, vilevile unawahatarisha Wakenya wanaoishi, kufanya kazi, au kusomea katika mataifa jirani hususan Afrika. Kauli ya Rais Ruto kuhusu msako dhidi ya raia wa kigeni wanaoendesha biashara kwa njia haramu imesababisha visa vya kuhofisha ambapo Waafrika kutoka nchi jirani, wameshambuliwa, kujeruhiwa, biashara zao kuporwa au kuharibiwa.

How it works

  • Ukatili huu dhidi ya raia wa kigeni waliokimbilia nchini ama kuomba hifadhi au kusaka riziki unatekelezwa na wenyeji ambao wameishi nao pamoja kwa miaka mingi wengine hata wakioana na kujaaliwa watoto pamoja.
  • Kenya imekuwa mstari wa mbele barani na kimataifa kupigia debe umoja na udugu wa Waafrika, huku ikihimiza mataifa ya Afrika kuondoa vikwazo vya mipaka ili kuruhusu biashara na usafiri huru.
  • Hata katika matukio yasiyotuhusu moja kwa moja, Rais amejitokeza kutoa taarifa akilaani vikali nchi zinazoripotiwa kuendesha ubaguzi kama vile Urusi-Ukraine, Israeli-Palestine, na Iran.
  • Mwezi mmoja tu uliopita, Afrika Kusini ilikejeliwa mno na kutengwa kiasi cha Waafrika wenzao kuhiari kushangilia Canada badala ya timu yake ya kitaifa katika Kombe la Dunia 2026, baada ya kuwafurusha...

Details worth keeping

Wakenya waliokuwa mstari wa mbele kudhihaki Afrika Kusini mitandao...

Keep reading in the app

Open the app view to save this story, compare related coverage, and continue from the same source.

Open in app