Nation iconNationSep 12, 2026 ~1 min source read

Maeneo hatari El- Nino ikitarajiwa hivi karibuni

KENYA inakabiliwa na hatari aina tatu za mafuriko wakati wa msimu wa mvua miezi ya Oktoba, Novemba na Desemba, huku hali ya El Niño ikiimarika na baadhi ya maeneo tayari yakianza kupokea mvua kubwa. Shirika la Hali ya Hewa Duniani (WMO) limesema kuna uwezekano wa karibu asilimia 100 kwamba, hali hiyo itaendelea hadi Februari 2027.

Maeneo hatari El- Nino ikitarajiwa hivi karibuni

Share this story

Send the public story page.

Useful takeaways from this story.

KENYA inakabiliwa na hatari aina tatu za mafuriko wakati wa msimu wa mvua miezi ya Oktoba, Novemba na Desemba, huku hali ya El Niño ikiimarika na baadhi ya maeneo tayari yakianza kupokea mvua kubwa.

Shirika la Hali ya Hewa Duniani (WMO) limesema kuna uwezekano wa karibu asilimia 100 kwamba, hali hiyo itaendelea hadi Februari 2027.

Nchini Kenya, El Niño inahusishwa na mvua nyingi kuliko kawaida katika maeneo mengi.

Building the complete brief

The page is ready to read now. The fuller skim-friendly version will appear here automatically.

The useful part

KENYA inakabiliwa na hatari aina tatu za mafuriko wakati wa msimu wa mvua miezi ya Oktoba, Novemba na Desemba, huku hali ya El Niño ikiimarika na baadhi ya maeneo tayari yakianza kupokea mvua kubwa. Shirika la Hali ya Hewa Duniani (WMO) limesema kuna uwezekano wa karibu asilimia 100 kwamba, hali hiyo itaendelea hadi Februari 2027. Nchini Kenya, El Niño inahusishwa na mvua nyingi kuliko kawaida katika maeneo mengi.

How it works

  • Takriban watu milioni 1.5 katika kaunti zote 47 wanaweza kuathirika, kwa mujibu wa tathmini ya awali ya serikali.
  • Mamlaka ya Hali ya Hewa Kenya (KMSA) imetambua hatari ya mafuriko mijini, mafuriko ya mito na mafuriko ya ghafla.
  • Hatari hizi zinatofautiana kulingana na aina ya ardhi, mifumo ya mitaro na ukaribu wa mito na maziwa.
  • Zacharia Mwai, mkurugenzi msaidizi wa Huduma za Hali ya Hewa na Maji katika KMSA, alisema Nairobi ni miongoni mwa maeneo yaliyo katika hatari kubwa ya mafuriko mijini.
  • Mito ya Nairobi, Mathare na Mbagathi ni miongoni mwa maeneo yanayofuatiliwa.

What to take from it

Ramani iliyofanywa na Kituo cha Kitaifa cha Operesheni za Maafa, Shirika la Msalaba Mwekundu na Idara ya Usimamizi wa Maafa ya Kaunti ya Nairobi imetambua maeneo 246 yanayoweza kuwa hatarini. Katika maeneo ya mijini, majengo na barabara nyingi zenye lami huzuia maji kupenya ardhini. Hivyo, mvua kubwa huongeza kiwango cha maji yanayotiririka na kuzidisha shinikizo kwenye mabomba.

Details worth keeping

Hata hivyo, ripoti kamili kuhusu maandalizi ya nchi bado haijakamilika. Eneo la Nyali, Mombasa, ambalo limekuwa likikumbwa na mafuriko m...

Keep reading in the app

Open the app view to save this story, compare related coverage, and continue from the same source.

Open in app