Nation iconNationSep 13, 2026 ~1 min source read

Ziara ya Ruto Nyanza mtihani mkubwa baada ya kifo cha Raila

ZIARA ya siku tano ya Rais William Ruto katika eneo la Nyanza kuanzia Jumapili, Septemba 13, imeibua mjadala mpana wa kisiasa huku wachambuzi wakisema ni zaidi ya ziara ya kawaida ya kukagua na kuzindua miradi ya maendeleo. Ziara hiyo inafanyika katika kipindi nyeti kisiasa baada ya kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu Raila Odinga, jambo lililoacha pengo kubwa la uongozi katika eneo ambalo kwa miongo kadhaa lilikuwa ngome yake ya kisiasa.

Ziara ya Ruto Nyanza mtihani mkubwa baada ya kifo cha Raila

Share this story

Send the public story page.

Useful takeaways from this story.

ZIARA ya siku tano ya Rais William Ruto katika eneo la Nyanza kuanzia Jumapili, Septemba 13, imeibua mjadala mpana wa kisiasa huku wachambuzi wakisema ni zaidi ya ziara ya kawaida ya kukagua na kuzindua...

Ziara hiyo inafanyika katika kipindi nyeti kisiasa baada ya kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu Raila Odinga, jambo lililoacha pengo kubwa la uongozi katika eneo ambalo kwa miongo kadhaa lilikuwa ngome yake ya...

Mbali na kuhudhuria ibada ya kanisa Kisumu, Rais pia anatarajiwa kukutana na viongozi mbalimbali na hata kuendesha kikao cha Baraza la Mawaziri katika Ikulu Ndogo ya Kisumu.

Building the complete brief

The page is ready to read now. The fuller skim-friendly version will appear here automatically.

The useful part

ZIARA ya siku tano ya Rais William Ruto katika eneo la Nyanza kuanzia Jumapili, Septemba 13, imeibua mjadala mpana wa kisiasa huku wachambuzi wakisema ni zaidi ya ziara ya kawaida ya kukagua na kuzindua miradi ya maendeleo. Ziara hiyo inafanyika katika kipindi nyeti kisiasa baada ya kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu Raila Odinga, jambo lililoacha pengo kubwa la uongozi katika eneo ambalo kwa miongo kadhaa lilikuwa ngome yake ya kisiasa. Mbali na kuhudhuria ibada ya kanisa Kisumu, Rais pia anatarajiwa kukutana na viongozi mbalimbali na hata kuendesha kikao cha Baraza la Mawaziri katika Ikulu Ndogo ya Kisumu.

How it works

  • Kwa serikali ambayo imekuwa ikitumia maendeleo kama silaha yake kuu ya kisiasa, ziara hiyo ni nafasi muhimu ya kuwashawishi wakazi wa eneo ambalo kwa muda mrefu lilimuunga mkono Raila Odinga na chama cha ODM.
  • Hata hivyo, umuhimu wa kisiasa wa ziara hiyo unazidi miradi inayozinduliwa.
  • Kifo cha Raila Odinga mnamo Oktoba 15, 2025, kiliondoa mwanasiasa aliyekuwa na ushawishi mkubwa zaidi Nyanza na kuacha swali kubwa kuhusu ni nani atakayerithi mtandao wake wa kisiasa na kura zake.
  • Katika mahojiano maalum yaliyopita, Rais Ruto alikiri kuwa uwepo wa Raila ungeathiri kwa kiasi kikubwa mazingira ya kisiasa ya sasa.
  • Alimtaja Raila kama mwanasiasa wa kipekee aliyekuwa na ujasiri, maono na uelewa wa masuala ya taifa.

What to take from it

Vilevile alisema yeye na Raila walikuwa na sera walizokubaliana, ikiwemo mpango wa nyumba za gharama nafuu na huduma ya afya kwa wote.

Details worth keeping

Rais Ruto anatarajiwa kuzuru kaunti za Kisumu, Siaya, Migori na Homa Bay akizindua na kukagua miradi mbalimbali ikiwemo barabara, maji na usafi wa mazingira, masoko, hospitali, nyumba za gharama nafuu, viwanja vya michezo pamoja na miundombinu mingine ya umma.

Keep reading in the app

Open the app view to save this story, compare related coverage, and continue from the same source.

Open in app