Nation iconNationSep 15, 2026 ~1 min source read

Mawimbi yakumba ukumbusho wa Raila

CHAMA cha ODM na familia ya aliyekuwa Waziri Mkuu Raila Odinga, wako katika mzozo mkali kuhusu mipango ya kuadhimisha mwaka mmoja tangu kifo chake. Raila alifariki siku hiyo baada ya kupata mshtuko wa moyo mjini Kochi, India.

Mawimbi yakumba ukumbusho wa Raila

Share this story

Send the public story page.

Useful takeaways from this story.

CHAMA cha ODM na familia ya aliyekuwa Waziri Mkuu Raila Odinga, wako katika mzozo mkali kuhusu mipango ya kuadhimisha mwaka mmoja tangu kifo chake.

Raila alifariki siku hiyo baada ya kupata mshtuko wa moyo mjini Kochi, India.

Taarifa hiyo ilisambazwa kwenye mitandao ya kijamii na binti wa Raila, Winnie Odinga, na dada yake Ruth Odinga, ambaye pia ni Mwakilishi wa Kike wa Kisumu.

Building the complete brief

The page is ready to read now. The fuller skim-friendly version will appear here automatically.

The useful part

CHAMA cha ODM na familia ya aliyekuwa Waziri Mkuu Raila Odinga, wako katika mzozo mkali kuhusu mipango ya kuadhimisha mwaka mmoja tangu kifo chake. Raila alifariki siku hiyo baada ya kupata mshtuko wa moyo mjini Kochi, India. Taarifa hiyo ilisambazwa kwenye mitandao ya kijamii na binti wa Raila, Winnie Odinga, na dada yake Ruth Odinga, ambaye pia ni Mwakilishi wa Kike wa Kisumu.

How it works

  • Lakini Raila Junior, mwanawe Raila ambaye baada ya kutangaza nia ya kuwania ubunge wa Kibra amekuwa akiandamana na viongozi wa ODM katika mikutano ya kisiasa, hakusambaza taarifa hiyo kwenye mitandao yake...
  • Raila Junior pia ameandamana na viongozi hao katika ziara ya siku tatu ya Rais William Ruto eneo la Nyanza.
  • Aidha, mama yake, Ida Odinga, ambaye kwa sasa ni Balozi wa Kenya na Mwakilishi wa Kudumu katika Shirika la Umoja wa Mataifa la Mazingira (UNEP) baada ya kuteuliwa na Rais Ruto mapema mwaka huu, hakusambaza...

Details worth keeping

Taifa litaadhimisha mwaka mmoja tangu kifo cha Raila mnamo Oktoba 15. Katika taarifa iliyotolewa Jumapili, familia hiyo ilisema kumbukumbu hiyo si ya mtu binafsi wala taasisi yoyote, siku chache tu baada ya ODM kutangaza mipango ya misururu ya mikutano kote nchini kwa ajili ya kumuenzi mwanzilishi wake.

Keep reading in the app

Open the app view to save this story, compare related coverage, and continue from the same source.

Open in app