NI HISTORIA: Sababu za Kenya kutuzwa uandalizi wa mbio kubwa zaidi duniani
Tunu hiyo pia imetokana na mafunzo muhimu yaliyopatikana baada ya Nairobi kushindwa katika zabuni ya kuandaa Riadha za Dunia za 2025, ambazo zilipewa Tokyo, Japan. Nairobi ilirekebisha kasoro zilizojitokeza katika uwaniaji huo na kuboresha mipango yake ili kulishawishi Baraza la Riadha Duniani mara hii.
