Nation iconNationSep 19, 2026 ~1 min source read

Maafisa 20 wa IEBC wahamishwa uchaguzi ukikaribia

TUME Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) imeanza kupanga upya uongozi wake katika kaunti kwa kuwahamisha zaidi ya maafisa 20 wakuu wa uchaguzi katika maeneo mbalimbali nchini, huku maandalizi ya Uchaguzi Mkuu wa 2027 yakishika kasi. Uhamisho huo uliotangazwa katika barua iliyotiwa saini na Kaimu Afisa Mkuu Mtendaji wa IEBC Ruth Kulundu.

Maafisa 20 wa IEBC wahamishwa uchaguzi ukikaribia

Share this story

Send the public story page.

Useful takeaways from this story.

TUME Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) imeanza kupanga upya uongozi wake katika kaunti kwa kuwahamisha zaidi ya maafisa 20 wakuu wa uchaguzi katika maeneo mbalimbali nchini, huku maandalizi ya Uchaguzi Mkuu...

Uhamisho huo uliotangazwa katika barua iliyotiwa saini na Kaimu Afisa Mkuu Mtendaji wa IEBC Ruth Kulundu.

IEBC imesema mabadiliko hayo ni sehemu ya zoezi la kawaida la kiutawala la kujaza nafasi zilizo wazi, kuwaweka maafisa waliopandishwa vyeo katika vituo vipya na kuimarisha utendaji wa tume mashinani.

Building the complete brief

The page is ready to read now. The fuller skim-friendly version will appear here automatically.

The useful part

TUME Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) imeanza kupanga upya uongozi wake katika kaunti kwa kuwahamisha zaidi ya maafisa 20 wakuu wa uchaguzi katika maeneo mbalimbali nchini, huku maandalizi ya Uchaguzi Mkuu wa 2027 yakishika kasi. Uhamisho huo uliotangazwa katika barua iliyotiwa saini na Kaimu Afisa Mkuu Mtendaji wa IEBC Ruth Kulundu. IEBC imesema mabadiliko hayo ni sehemu ya zoezi la kawaida la kiutawala la kujaza nafasi zilizo wazi, kuwaweka maafisa waliopandishwa vyeo katika vituo vipya na kuimarisha utendaji wa tume mashinani.

How it works

  • Mabadiliko hayo yanajiri siku chache baada ya IEBC kutangaza Jumanne, Agosti 10, 2027 kuwa siku ya kupiga kura.
  • Mwenyekiti wa IEBC Erastus Ethekon amepuuza madai kwamba uhamisho huo umechochewa na siasa au una uhusiano na uadilifu wa maafisa wanaohusika.
  • Alisema ni utaratibu wa kawaida baada ya tume kuajiri maafisa wapya kuchukua nafasi za waliostaafu, waliofariki au walioondoka kazini.
  • Hiyo inamaanisha lazima wapangwe upya na kupelekwa katika vituo vipya," Bw Ethekon alisema katika mahojiano na Taifa Leo.
  • Alisema takriban maafisa 17 wameajiriwa na kupandishwa vyeo, hivyo kuhitajika kupelekwa katika kaunti mbalimbali.

Details worth keeping

"Tumeajiri maafisa wapya wa uchaguzi wa kaunti. "Kuna waliostaafu, wengine walifariki na wengine wakaondoka. Kwa hivyo wako takriban 17 ambao tumeajiri," alisema.

Keep reading in the app

Open the app view to save this story, compare related coverage, and continue from the same source.

Open in app