Nation iconNationSep 20, 2026 ~1 min source read

Museveni asema ameshangazwa na ujanja wa Kenya

RAIS wa Uganda Yoweri Museveni amesema nchi yake ilisitisha ununuzi wa mafuta kupitia Kenya baada ya kugundua kile alichokitaja kuwa udanganyifu uliokuwa ukiigharimu mabilioni ya shilingi kupitia mabroka. Uganda, ambayo haina bandari ya bahari, kwa muda mrefu imekuwa ikitegemea Bandari ya Mombasa na mtandao wa mabomba ya mafuta wa Kenya kuagiza mafuta yake.

Museveni asema ameshangazwa na ujanja wa Kenya

Share this story

Send the public story page.

Useful takeaways from this story.

RAIS wa Uganda Yoweri Museveni amesema nchi yake ilisitisha ununuzi wa mafuta kupitia Kenya baada ya kugundua kile alichokitaja kuwa udanganyifu uliokuwa ukiigharimu mabilioni ya shilingi kupitia mabroka.

Uganda, ambayo haina bandari ya bahari, kwa muda mrefu imekuwa ikitegemea Bandari ya Mombasa na mtandao wa mabomba ya mafuta wa Kenya kuagiza mafuta yake.

Kulingana na rais huyo, alipopewa taarifa hizo aliwaagiza maafisa wake wa nishati kuchunguza suala hilo lakini hatua za haraka hazikuchukuliwa.

Building the complete brief

The page is ready to read now. The fuller skim-friendly version will appear here automatically.

The useful part

RAIS wa Uganda Yoweri Museveni amesema nchi yake ilisitisha ununuzi wa mafuta kupitia Kenya baada ya kugundua kile alichokitaja kuwa udanganyifu uliokuwa ukiigharimu mabilioni ya shilingi kupitia mabroka. Uganda, ambayo haina bandari ya bahari, kwa muda mrefu imekuwa ikitegemea Bandari ya Mombasa na mtandao wa mabomba ya mafuta wa Kenya kuagiza mafuta yake. Kulingana na rais huyo, alipopewa taarifa hizo aliwaagiza maafisa wake wa nishati kuchunguza suala hilo lakini hatua za haraka hazikuchukuliwa.

How it works

  • Hata hivyo, baada ya uchunguzi zaidi, Uganda ilibadili mfumo wake wa ununuzi wa mafuta.
  • Kwa sasa Uganda inaagiza mafuta kupitia ushirikiano kati ya Kampuni ya Kitaifa ya Mafuta ya Uganda (UNOC) na kampuni ya Vitol, kufuatia mabadiliko ya sera yaliyofanywa mnamo 2023.
  • Museveni alisema hatua hiyo imepunguza kwa kiasi kikubwa gharama za mafuta.

Details worth keeping

Akizungumza nchini Uganda, Museveni alisema mpango uliokuwa ukitumika haukuwa wa serikali kwa serikali (G2G) kama ulivyowasilishwa, bali ulikuwa mpango wa "serikali kwa mabroka", ambapo Uganda ilinunua bidhaa za petroli kupitia mawakala waliokuwa wakinufaika kwa gharama ya walipa ushuru. "Kulikuwa na mawakala nchini Kenya waliokuwa wakiuzia Uganda mafuta. Sikujua hadi nilipoelezwa na seneta mmoja kutoka Kenya," alisema Museveni.

Keep reading in the app

Open the app view to save this story, compare related coverage, and continue from the same source.

Open in app