Nation iconNationSep 20, 2026 ~1 min source read

Wanafunzi wafunzwa namna ya kuzoa na kuchakata upya taka kiuchumi

KARATASI zilizotumika, chupa za plastiki, makopo na vifungashio vingine vinavyotupwa kwa pamoja mara nyingi huonekana kama taka zisizo na thamani. Mpango huo unalenga kuifanya shule kuwa mahali ambapo tabia ya kutenganisha taka, kutambua vifaa vinavyoweza kuchakataliwa upya/kurejelewa na kuelewa thamani ya rasilimali zilizotumika inaanza mapema.

Wanafunzi wafunzwa namna ya kuzoa na kuchakata upya taka kiuchumi

Share this story

Send the public story page.

Useful takeaways from this story.

KARATASI zilizotumika, chupa za plastiki, makopo na vifungashio vingine vinavyotupwa kwa pamoja mara nyingi huonekana kama taka zisizo na thamani.

Mpango huo unalenga kuifanya shule kuwa mahali ambapo tabia ya kutenganisha taka, kutambua vifaa vinavyoweza kuchakataliwa upya/kurejelewa na kuelewa thamani ya rasilimali zilizotumika inaanza mapema.

Ushirikiano huo ulizinduliwa katika Kambi ya Maskauti ya Rowallan, Nairobi, ukiwalenga watoto wenye umri wa kati ya miaka sita na 24.

Building the complete brief

The page is ready to read now. The fuller skim-friendly version will appear here automatically.

The useful part

KARATASI zilizotumika, chupa za plastiki, makopo na vifungashio vingine vinavyotupwa kwa pamoja mara nyingi huonekana kama taka zisizo na thamani. Mpango huo unalenga kuifanya shule kuwa mahali ambapo tabia ya kutenganisha taka, kutambua vifaa vinavyoweza kuchakataliwa upya/kurejelewa na kuelewa thamani ya rasilimali zilizotumika inaanza mapema. Ushirikiano huo ulizinduliwa katika Kambi ya Maskauti ya Rowallan, Nairobi, ukiwalenga watoto wenye umri wa kati ya miaka sita na 24.

How it works

  • Sehemu muhimu ya mpango huo ni usambazaji wa mapipa 600 katika shule 150, ambapo wanafunzi watafundishwa kutenganisha taka badala ya kuzichanganya zote katika pipa moja.

Details worth keeping

Lakini yamkini usilojua ni kwamba iwapo taka hizo zitatenganishwa kwa usahihi, zinaweza kubadilika zikawa vifaa vipya kabisa kwa mwanadamu huku vikitoa fursa za kipato kwa maelfu ya watu wanaoshiriki katika sekta ya uchakataji upya wa vifaa vilivyotumika (recycling). Ni kwa msingi huo ambapo mpango mpya unaolenga kuwafundisha wanafunzi kutenganisha taka kisha kuiunda taka hiyo kuwa vifaa muhimu, ulibuniwa, ukiwalenga watoto kama washiriki muhimu katika kubadilisha namna taka zinavyokusanywa na kushughulikiwa nchini. Lengo ni kuhakikisha kuwa vifaa vinavyoweza kur...

Keep reading in the app

Open the app view to save this story, compare related coverage, and continue from the same source.

Open in app