Nation iconNationSep 26, 2026 ~1 min source read

Wakazi walalamika mamia ya ng’ombe wakiuawa kwenye msako wa majangili

WAKAZI wa Samburu wameibua malalamishi baada ya mamia ya ng'ombe, mbuzi na punda kuripotiwa kuuawa wakati wa operesheni ya usalama iliyolenga majangili na kurejesha mifugo iliyoibwa. "Matokeo yamekuwa mabaya sana, yakisababisha ukatili na mauaji ya kiholela ya mifugo ya wananchi," alisema.Idadi kamili ya mifugo iliyouawa bado inapingwa.

Wakazi walalamika mamia ya ng’ombe wakiuawa kwenye msako wa majangili

Share this story

Send the public story page.

Useful takeaways from this story.

WAKAZI wa Samburu wameibua malalamishi baada ya mamia ya ng'ombe, mbuzi na punda kuripotiwa kuuawa wakati wa operesheni ya usalama iliyolenga majangili na kurejesha mifugo iliyoibwa.

"Matokeo yamekuwa mabaya sana, yakisababisha ukatili na mauaji ya kiholela ya mifugo ya wananchi," alisema.Idadi kamili ya mifugo iliyouawa bado inapingwa.

Takwimu zilizowasilishwa katika Seneti zinaonyesha kuwa mbuzi 415 na ng'ombe 102 waliuawa katika Wadi ya Waso ndani ya siku tatu.

Building the complete brief

The page is ready to read now. The fuller skim-friendly version will appear here automatically.

The useful part

WAKAZI wa Samburu wameibua malalamishi baada ya mamia ya ng'ombe, mbuzi na punda kuripotiwa kuuawa wakati wa operesheni ya usalama iliyolenga majangili na kurejesha mifugo iliyoibwa. "Matokeo yamekuwa mabaya sana, yakisababisha ukatili na mauaji ya kiholela ya mifugo ya wananchi," alisema.Idadi kamili ya mifugo iliyouawa bado inapingwa. Takwimu zilizowasilishwa katika Seneti zinaonyesha kuwa mbuzi 415 na ng'ombe 102 waliuawa katika Wadi ya Waso ndani ya siku tatu.

How it works

  • Hata hivyo, Mbunge wa Samburu Mashariki Jackson Lekumontare alisema tathmini yake inaonyesha zaidi ya mbuzi 700, ng'ombe 500 na punda kadhaa waliangamia wakati wa operesheni hiyo.
  • Kwa upande wake, Chama cha Wataalamu wa Samburu kimesema kimeorodhesha angalau wanyama 717 waliouawa, wakiwemo mbuzi 415, ng'ombe 352 na punda 50, huku uchunguzi ukiendelea.

Details worth keeping

Operesheni hiyo ilianzishwa kufuatia mashambulizi yaliyotekelezwa na majangili katika mpaka wa Samburu na Isiolo, ambapo maafisa wawili wa Kitengo cha Kupambana na Wizi wa Mifugo (ASTU), polisi mmoja wa akiba na raia wawili waliuawa walipokuwa wakifuatilia mifugo iliyoibwa.

Keep reading in the app

Open the app view to save this story, compare related coverage, and continue from the same source.

Open in app