Majengo ya kisasa yanavyoharibu utamu wa uswahili wa Mombasa
KWA miongo mingi, nyumba za jadi za muundo wa Waswahili zimekuwa alama muhimu ya utambulisho wa Mombasa. Hata hivyo, mandhari hiyo sasa inabadilika kwa kasi huku majengo marefu ya kisasa yakizidi kujengwa katika maeneo mbalimbali ya jiji.
