Kaa chonjo: Maeneo hatari kwa ghasia za kisiasa 2027 yamulikwa
HUKU Kenya ikielekea kwenye Uchaguzi Mkuu wa Agosti 10, 2027, wasiwasi unazidi kuongezeka kuhusu uwezekano wa kuzuka kwa ghasia za kisiasa katika maeneo mbalimbali nchini. Kiongozi wa Wiper, Kalonzo Musyoka, na washirika wake pia walilazimika kuondoka haraka Garissa baada ya kukumbana na mazingira yaliyotishia usalama wao.
