Mapengo ukaguzi vituo vya mafuta yaibua uwajibikaji
Kandambili, ukosefu wa vifaa kinga na mafunzo ya usalama kwa baadhi ya wahudumu wa vituo vya mafuta nchini si changamoto ya mfanyakazi mmojammoja, bali ni dalili ya mapengo katika mfumo unaopaswa kuhakikisha kila anayefanya kazi katika mazingira hayo analindwa.
