
Hatua tano za kubadilisha tabia usiyoipenda
Kila mmoja ana tabia ambayo anatamani kuiacha. Wengine hujiahidi kuanzia mwezi huu au mwaka mpya nitabadilika, lakini baada ya muda mfupi hujikuta wamerudia palepale.
Use this page to scan recent stories from Mwananchi, see the themes that keep appearing, and jump into complete story briefs.

Kila mmoja ana tabia ambayo anatamani kuiacha. Wengine hujiahidi kuanzia mwezi huu au mwaka mpya nitabadilika, lakini baada ya muda mfupi hujikuta wamerudia palepale.

Waziri wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga amevitaka viwanda vinavyozalisha bidhaa kwa kiwango cha kutosheleza mahitaji ya ndani kuhakikisha vinalinda soko la nchini, huku akiwaomba wazawa kuamini bidhaa zinazozalishwa na wenzao.

Tanzania imenufaika na ruzuku ya takribani Dola 6.7 milioni za Marekani (Sh17 bilioni) kutoka Mfuko wa Ushirikiano wa Maendeleo ya Miundombinu (MCDF), fedha zinazolenga maandalizi ya miradi mitatu ya kimkakati katika sekta za nishati na usafirishaji.



Vijana zaidi ya 250 kutoka maeneo mbalimbali nchini wanatarajiwa kukutana Dar es Salaam katika Kongamano la kujadili na kuweka ajenda zinazohusu afya, uongozi, uchumi, usawa wa kijinsia na ustawi wao.

Serikali imetaja sekta ya madini, kilimo, ufugaji wa samaki, ujenzi na huduma za chakula kuwa miongoni mwa maeneo yenye fursa za kiuchumi kwa wananchi mkoani Geita, huku ikiwataka kuchangamkia fursa hizo ili kuongeza kipato na kujenga uchumi wa kaya.

Naibu Spika wa Bunge, Daniel Sillo amesema utekelezaji wa Dira ya Maendeleo ya Taifa 2050 unapaswa kupimwa kwa mabadiliko halisi katika maisha ya wananchi, akisema ufuatiliaji na tathmini havipaswi kuishia katika kuhesabu miradi, fedha zilizotumika au shughuli zilizotekelezwa.

Kandambili, ukosefu wa vifaa kinga na mafunzo ya usalama kwa baadhi ya wahudumu wa vituo vya mafuta nchini si changamoto ya mfanyakazi mmojammoja, bali ni dalili ya mapengo katika mfumo unaopaswa kuhakikisha kila anayefanya kazi katika mazingira hayo analindwa.



Madereva, wafanyabiashara na wadau wa usafirishaji katika Stendi ya Daladala ya Tabata Segerea jijini Dar es Salaam wameipongeza Serikali kwa kuanza ukarabati wa miundombinu ya kituo hicho, wakisema hatua hiyo itasaidia kuondoa kero ya mashimo iliyodumu kwa zaidi ya miaka miwili.
Open the app view when you want faster scanning, saved stories, and source-focused reading in one place.