Nation iconNationSep 29, 2026 ~1 min source read

Vyuo vikuu vya umma mbioni kuzuia mgomo wa wahadhiri unaojongea

VYUO VIKUU vya umma vinaendelea na juhudi za dharura kutafuta suluhu ya mzozo wa Mkataba wa Pamoja wa Kazi (CBA) kabla ya wahadhiri kutekeleza tishio lao la kugoma ndani ya siku chache zijazo. Katika Chuo Kikuu cha Nairobi, wasimamizi wameanza tena mashauriano na viongozi wa vyama vya wafanyakazi pamoja na Tume ya Mishahara na Marupurupu (SRC) ili kutatua masuala yaliyosalia kuhusu mikataba ya awali ya wafanyakazi.

Vyuo vikuu vya umma mbioni kuzuia mgomo wa wahadhiri unaojongea

Share this story

Send the public story page.

Useful takeaways from this story.

VYUO VIKUU vya umma vinaendelea na juhudi za dharura kutafuta suluhu ya mzozo wa Mkataba wa Pamoja wa Kazi (CBA) kabla ya wahadhiri kutekeleza tishio lao la kugoma ndani ya siku chache zijazo.

Katika Chuo Kikuu cha Nairobi, wasimamizi wameanza tena mashauriano na viongozi wa vyama vya wafanyakazi pamoja na Tume ya Mishahara na Marupurupu (SRC) ili kutatua masuala yaliyosalia kuhusu mikataba ya...

Chuo hicho kinasema kilikamilisha mazungumzo ya CBA ya miaka 2017 hadi 2021 na vyama vitatu vinavyotambuliwa rasmi, ambavyo ni UASU, KUSU na KUDHEIHA, mwezi Aprili mwaka huu.

Building the complete brief

The page is ready to read now. The fuller skim-friendly version will appear here automatically.

The useful part

VYUO VIKUU vya umma vinaendelea na juhudi za dharura kutafuta suluhu ya mzozo wa Mkataba wa Pamoja wa Kazi (CBA) kabla ya wahadhiri kutekeleza tishio lao la kugoma ndani ya siku chache zijazo. Katika Chuo Kikuu cha Nairobi, wasimamizi wameanza tena mashauriano na viongozi wa vyama vya wafanyakazi pamoja na Tume ya Mishahara na Marupurupu (SRC) ili kutatua masuala yaliyosalia kuhusu mikataba ya awali ya wafanyakazi. Chuo hicho kinasema kilikamilisha mazungumzo ya CBA ya miaka 2017 hadi 2021 na vyama vitatu vinavyotambuliwa rasmi, ambavyo ni UASU, KUSU na KUDHEIHA, mwezi Aprili mwaka huu.

How it works

  • Baada ya mazungumzo hayo, mikataba hiyo iliwasilishwa kwa SRC kwa ushauri kabla ya kusajiliwa rasmi.
  • Hata hivyo, SRC ilieleza wasiwasi wake kuhusu baadhi ya marupurupu yaliyopendekezwa, yakiwemo ya nyumba, likizo, vitabu, maprofesa, matibabu ya meno na macho, pamoja na marupurupu ya wafanyakazi...
  • Kutokana na hali hiyo, SRC ilitaka chuo hicho kurekebisha baadhi ya vipengele au kuwasilisha ushahidi unaoonyesha kuwa marupurupu hayo yanaweza kugharamiwa kwa njia endelevu.
  • Wakati huo huo, vyuo vikuu vya umma vimeeleza kuwa havina uwezo wa kifedha wa kufadhili CBA mpya bila msaada wa ziada kutoka Wizara ya F...

Details worth keeping

Chama cha Wahadhiri wa Vyuo Vikuu (UASU) kimesisitiza kuwa notisi yake ya mgomo bado ipo na kwamba wahadhiri watasusia kazi Oktoba 2, 2026 ikiwa mazungumzo kuhusu CBA mpya ya kipindi cha 2025 hadi 2029 hayatapiga hatua za kuridhisha.

Keep reading in the app

Open the app view to save this story, compare related coverage, and continue from the same source.

Open in app