Nation iconNationSep 29, 2026 ~1 min source read

Bilionea Aliko Dangote kuinua Kenya barani kupitia kiwanda cha mafuta

Eneo lake katika Bandari ya Lamu vilevile inatarajiwa kuimarisha nafasi ya Kenya kama kituo kikuu cha kawi na biashara barani. Kulingana na serikali, hafla hiyo itahudhuriwa na viongozi kadhaa wa mataifa na wageni wengineo wa ngazi za juu huku Bw Dangote akiwa miongoni mwa wanaotarajiwa kuhudhuria.

Bilionea Aliko Dangote kuinua Kenya barani kupitia kiwanda cha mafuta

Share this story

Send the public story page.

Useful takeaways from this story.

Eneo lake katika Bandari ya Lamu vilevile inatarajiwa kuimarisha nafasi ya Kenya kama kituo kikuu cha kawi na biashara barani.

Kulingana na serikali, hafla hiyo itahudhuriwa na viongozi kadhaa wa mataifa na wageni wengineo wa ngazi za juu huku Bw Dangote akiwa miongoni mwa wanaotarajiwa kuhudhuria.

Nyuma ya uwekezaji huo, uwezo wake na maazimio makuu kuhusu mradi huo ni mwanamme ambaye jina lake limehusika kwa karibu na ufanisi wa biashara barani Afrika.

Building the complete brief

The page is ready to read now. The fuller skim-friendly version will appear here automatically.

The useful part

Eneo lake katika Bandari ya Lamu vilevile inatarajiwa kuimarisha nafasi ya Kenya kama kituo kikuu cha kawi na biashara barani. Kulingana na serikali, hafla hiyo itahudhuriwa na viongozi kadhaa wa mataifa na wageni wengineo wa ngazi za juu huku Bw Dangote akiwa miongoni mwa wanaotarajiwa kuhudhuria. Nyuma ya uwekezaji huo, uwezo wake na maazimio makuu kuhusu mradi huo ni mwanamme ambaye jina lake limehusika kwa karibu na ufanisi wa biashara barani Afrika.

How it works

  • Dangote anachukuliwa kuwa mtu tajiri zaidi Afrika huku jarida la Forbes likikadiria mali yake kuwa na thamani ya Sh4.7 trilioni kufikia Septemba 2026.
  • Ni mwasisi, rais na mkurugenzi wa kampuni kwa jina Dangote Group, moja kati ya mashirika makubwa zaidi ya biashara Afrika Magharibi.
  • Maisha yake yalianzia Kano, Nigeria, alipozaliwa Aprili 10, 1957, katika familia tajiri ya Hausa Muslim.
  • Mama yake Mariya Sanusi Dantata alitoka familia yenye ushawishi mkuu ya wafanyabiashara, Dantata huku baba yake Mohamed Dangote, akiwa mfanyabiashara na mshiriki wa Dantatas.
  • Biashara, hivyo basi, haikuwa jambo geni kwa familia ya Dangote, ilikuwa sehemu ya mazingira alimokulia bilionea huyo.

What to take from it

Kupitia mama yake, Dangote ni kitukuu wake Alhassan Abdullahi Dantata, moja kati ya wa...

Details worth keeping

KENYA itachukua hatua muhimu kujinafasi kama kituo kikuu cha nishati na viwanda kikanda Rais William Ruto atakapoongoza hafla ya kuzindua mradi uliopendekezwa wa Kiwanda cha Mafuta Afrika Mashariki mjini Lamu hapo kesho, chenye thamani ya Sh2 trilioni. Kiwanda hicho chenye uwezo wa kusafisha mapipa 700,000 kwa siku kinachofadhiliwa na bilionea wa Nigeria Aliko Dangote, kinatarajiwa kuwa kikubwa zaidi cha aina hiyo Afrika Mashariki na kusambaza bidhaa za petroli nchini na masoko ya nchi jirani.

Keep reading in the app

Open the app view to save this story, compare related coverage, and continue from the same source.

Open in app